Nenda kwa yaliyomo

Mto Ol Arabel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ol Arabel (au mto Ngusero) unapatikana katika kaunti ya Baringo nchini Kenya.

Maji yake yanaishia katika ziwa Baringo.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]