Nenda kwa yaliyomo

Moussa Camara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moussa Camara
Maelezo binafsi
Jina kamiliMoussa Pinpin Camara
tarehe ya kuzaliwa27 Julai 1998 (1998-07-27) (umri 26)
mahali pa kuzaliwaSiguiri, Guinea
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasaSimba S.C.
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2014 - 2015Milo FC
2015 - 2024Haroya
2024 -Simba S.C.
Timu ya Taifa ya Kandanda
Guinea27
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.

† Appearances (Goals).

‡ National team caps and goals correct as of 2

Moussa Camara (amezaliwa 27 Novemba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Guinea, anayecheza nafasi ya Golikipa. Anaitumikia timu ya taifa ya Guinea na kuanzia msimu wa 2024/25 alisajiliwa na klabu ya Simba S.C..

Hatua ya Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Kabla ya kujiunga na Klabu ya Milo FC, Camara aliitumikia klabu ya FC Kolombada inayoshiriki ligi daraja la kwanza.[1] Mwaka 2015, alijiunga ba Horoya AC akiwa kama Golikipa namba mbili, wakati huo Khadim N'Diaye alikua ndiye Golikipa namba moja.[2] Wakati huo alikua chini ya Kémoko Camara ambaye ni Kocha wa magolikipa.

Kwa mara ya kwanza, Camara alicheza mchezo wa kimashindano dhidi ya Klabu ya Esperense de Tunis kwenye msimu wa Klabu Bingwa Afrika wa 2018-19, hii ni baada ya magolikipa wakongwe N'Diaye na Germain Berthé kuumia. Ijapokua aliruhusu kufungwa magoli mawili, alionyesha kiwango cha hali ya juu sana.

  1. "MOUSSA CAMARA, PROMIS À UN BEL AVENIR" (kwa Kifaransa). Horoya AC. 4 Oktoba 2019. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Super Coupe : découvrez les compos". foot224.co (kwa Kifaransa). 5 Desemba 2015. Iliwekwa mnamo 3 Novemba 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moussa Camara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.