Nenda kwa yaliyomo

Mohammad Rashad Al Matini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohammad Rashad Al Matini ni waziri wa zamani wa uchukuzi wa Misri. Alikua kwenye Wadhifa huo kuanzia tarehe 2 Agosti 2012 hadi kujiuzulu kwake baada ya ajali ya reli ya Manfalut tarehe 17 Novemba 2012. [1]

Al Matini alifanya kazi kama profesa wa uhandisi wa ujenzi katika Chuo Kikuu cha Cairo . [2] Pia aliwahi kuwa mshauri katika wizara mbalimbali zinazohusiana na taaluma yake. [3]

Marejeleo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Egyptian school bus crashes with train, killing 50, transportation minister resigns". Retrieved on 9 December 2012. 
  2. "Egypt's newly appointed cabinet" (PDF). American Chamber of Commerce in Egypt. Agosti 2012. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Egypt's government: It's time to get to know the ministers". Egypt Business. 5 Agosti 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Novemba 2012. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohammad Rashad Al Matini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.