Mkoa wa Tshuapa
Mandhari
Mkoa wa Tshuapa |
|
![]() |
|
Majiranukta: 0°44′S 19°12′E / 0.733°S 19.200°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Boende |
Eneo | |
- Jumla | 132,957 km² |
Idadi ya wakazi (2020) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,944,500 |
Mkoa wa Tshuapa ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,944,500.
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Mkoa umepewa jina la Mto Tshuapa. Uko kaskazini-magharibi mwa nchi, kwenye Mto Kongo.
![]() | |
---|---|
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu | |
+/- |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tshuapa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |