Mkoa wa Montagnes
Mandhari
Mkoa wa Montagnes |
|
![]() |
|
Majiranukta: 7°20′N 7°40′W / 7.333°N 7.667°W | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Man |
Eneo | |
- Jumla | 16.600 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 936.502 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Montagnes au Mkoa wa Dix-Huit Montagnes (kwa Kifaransa: Région des Montagnes au Région des Dix-Huit Montagnes) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 936.502. [1]
Kuna tarafa sita ambazo ni
Makao makuu yako Man.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Montagnes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |