Merkuri wa Kaisarea
Mandhari

Merkuri wa Kaisarea (jina la ubatizo: Filopatri; Kapadokia au Roma, 224 - Kaisarea wa Kapadokia, katika Uturuki ya leo, 250) anasemekana alikuwa jenerali wa jeshi la Dola la Roma hadi alipojitambulisha kwa kaisari kuwa Mkristo. Hapo aliteswa na hatimaye kukatwa kichwa kutokana na imani yake[1][2][3]
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu[4].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Novemba[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ruskin, John; Bryan, Taylor (1894). St. Mark's Rest, Lectures on art, Elements of perspective (kwa Kiingereza). uk. 170.
- ↑ Riches, Sam; Salih, Sarah (2005). Gender and Holiness: Men, Women and Saints in Late Medieval Europe (kwa Kiingereza). Routledge. uk. 78. ISBN 978-1-134-51489-2.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/79100
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/79100
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Account of his life on University College Cork website, with bibliography
- Coptic account
- Coptic Synexarium
- St Philopateer Mercurius at the Church of St Mary and St Merkorious, Sydney
- www.tamavireneforall.com All about St Mercurius in the words of Tamav Irene the Abbess of the convent of St Mercurius, Old Cairo, Egypt.
- Catholic Online: Saint Mercurius
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |