Nenda kwa yaliyomo

Menyu anzishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Menyu anzishi ya Windows 8

Katika utarakilishi, Menyu anzishi (kwa Kiingereza: Start menu) ni sehemu ya kiolesura michoro cha mtumiaji inayotumika kwenye Microsoft Windows. Menyu anzishi ni kituo kinachoanzisha programu zote za Windows.

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.