Megan Fox
Mandhari

Megan Denise Fox (alizaliwa Mei 16, 1986) ni mwigizaji na mwanamitindo wa Marekani.
[hariri | hariri chanzo]Alionekana maranyingi kwenye kanda kuu za filamu, hasa Transformers franchise, pamoja na majarida mengine kama vile Maxim (magazine)|Maxim, Rolling Stone, na FHM.[1][2]
Amepokea tuzo mbalimbali kama vile Scream Awards na Teen Choice Awards.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lee, Chris (Septemba 23, 2009). "Megan Fox: Hollywood's outrageous it girl". Los Angeles Times. ku. 1–2. Iliwekwa mnamo Juni 1, 2011.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Transformers star 'sexiest woman'". BBC News. Aprili 24, 2008. Iliwekwa mnamo Aprili 25, 2008.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Megan Fox kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |