Nenda kwa yaliyomo

Kumi na tano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kumi na tano ni namba inayoandikwa 15 kwa tarakimu za kawaida na XV kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 14 na kutangulia 16.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 5.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kumi na tano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.