Kumi (namba)
Mandhari
Kumi ni namba inayoandikwa 10 kwa tarakimu za kawaida lakini X kwa zile za Kirumi na ١٠ kwa zile za Kiarabu. Inafuata 9 na kutangulia 11.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 5.
Namba kumi ni msingi wa mahesabu mengi, kutokana na idadi ya vidole vya mikono ya binadamu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kumi (namba) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |