Kimoji
Mandhari
Kimoji ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kimoji imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimoji iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimoji kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimoji Archived 8 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimoji katika Glottolog
- lugha ya Kimoji kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimoji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |