Kimambai
Mandhari
Kimambai ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamambai. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimambai imehesabiwa kuwa watu 8000. Pia kuna wasemaji 2000 nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimambai iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimambai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimambai Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimambai katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mcs
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimambai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |