Kifyam
Mandhari
Kifyam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wafyam. Idadi ya wasemaji wa Kifyam imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifyam iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kifyam kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifyam Ilihifadhiwa 19 Julai 2013 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kifyam katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/pym
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifyam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |