Kibikya
Mandhari
Kibikya ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun. Mwaka wa 1986 kulikuwa na msemaji mmoja wa Kibikya tu. Kwa hiyo lugha imetoweka kabisa kwa sasa, Wabikya wakitumia lugha ya Kijukun badala ya lugha yao. Uainishaji wa lugha hiyo ndani ya lugha za Kiniger-Kongo haujatafitiwa; labda iko ndani ya kundi la Kibeboidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibikya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibikya Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibikya katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibikya
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibikya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |