Kaukura
Mandhari
Kaukura ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Arutua. Eneo la kisiwa ni 11 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Raitahiti. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 475. Watu wakaao kisiwani kwa Kaukura huongea Kituamotu na Kitahiti.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|