Kansa ya tezi
Mandhari
Kansa ya tezi (kwa Kiingereza: Thyroid cancer) ni kansa inayoendelea kutoka kwenye tishu za tezi. Ni ugonjwa ambao seli hukua kwa kawaida na kuwa na uwezo wa kuenea hadi sehemu nyingine za mwili.
Dalili za ugonjwa huu ni uvimbe kwenye shingo, mabadiliko ya sauti. Kansa hii inaweza pia kutokea kwenye tezi baada ya kuenea kutoka maeneo mengine ya mwili, ambapo hali hiyo haijatambuliwa kama kansa ya tezi.
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kansa ya tezi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |