Nenda kwa yaliyomo

Joseph

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph ni jina la kiume linalotokana na Kiebrania Yosef (יוֹסֵף‎). Umbo la kawaida la Kiswahili ni Yosefu. Hutumiwa kama jina la familia na jina la kibinafsi.

Umbo la "Joseph" pamoja na "Josef" ni kawaida katika lugha za Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani na lugha za Skandinavia. Kwa Kihipania na Kireno ni "José". Kwa Kiarabu na lugha nyingi zilizoathiriwa nayo ni يوسف, Yūsuf.

Katika Biblia, kitabu cha Mwanzo, Yosefu ndiye mwana wa 11 wa Yakobo. Katika Agano Jipya Yosefu ndiye mume wa Mariamu mama wa Yesu.

Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.