Nenda kwa yaliyomo

Jina la kuzaliwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kundi la majina lililomtambulisha rais wa Marekani John Fitzgerald Kennedy kama kielelezo cha desturi ya nchi hiyo.

Jina la kuzaliwa (kwa Kiingereza: birth name, full name, legal name au en:Personal name) ni kundi la majina ambalo kwa pamoja linamtambulisha mtu maalumu. Katika tamaduni kadhaa ni majina mawili, katika nyingine ni matatu, ambapo la kwanza ni la mwenyewe, la pili la baba, la tatu la babu au la ukoo[1]. Tamaduni chache zinatumia jina moja tu au zaidi ya tatu.

  1. "The Arabic Naming System" (PDF). councilscienceeditors.org (kwa Kiingereza). 28 (1): 20–21. Februari 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-09-10. Iliwekwa mnamo 2018-09-21. {{cite journal}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jina la kuzaliwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.