Nenda kwa yaliyomo

Hekaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hekaya (pia hujulikana kama hikaya, kutoka neno la Kiarabu) ni hadithi, kisa, ngano au kioja, ajabu au tukio lolote la kustaajabisha.

Mfano maarufu wa hekaya kwa Kiswahili ni zile za Abunuwasi.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hekaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.