Nenda kwa yaliyomo

Gwineari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Pluvigner, Ufaransa.

Gwineari (pia: Guigner, Fingar) alikuwa Mkristo wa Eire aliyefia dini yake katika karne ya 5 au ya 6 ama Cornwall, nchini Uingereza, ama Bretagne, nchini Ufaransa[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Machi[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Mooney, Ambrose. "St. Gwinear, St. Phiala & Companions, Martyrs". CelticSaints.org.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.