Fathy Salama
Fathy Salama ( alizaliwa Machi 27, 1969, Cairo) ni mwanamuziki wa nchini Misri aliyeshinda Tuzo ya Grammy.
Salama alikua akisikiliza redio, ambayo iliyokuwa ikipiga miziki ya wasanii ambao walikuwa na mvuto mkubwa juu yake. Mvuto wake wa utotoni ulikuwa kwa wanamuziki Umm Kulthum, Mohammed Abdel Wahab na Farid El Atrache.[1][2][3] Wasanii hawa walimsukuma sana kiasi kwamba aliamua kujihusisha na muziki; kisha alianza kubuni mtindo wake hodari wa muziki kutokana na kucheza piano akiwa na umri wa miaka sita na kufuatiwa na muziki alioimba katika vilabu vya Cairo akiwa na umri wa miaka kumi na tatu. Alitembelea bara la Ulaya na jiji la New York City ili kujifunza jazz na wasanii kama vile Barry Harris, Sun Ra, Roman Bunka, Hal Galper, na Pat Patrick.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cairo: The Practical Guide, Lesley Lababidi, Claire E. Francy (2008), page 84: "Main venues for Western and mixed-style jazz are the cultural centers, the Opera complex, Gumhuriya Theater, and the Wikalat al- Ghuri near the Khan, where Fathy Salama and his band, Sharkiat, have played. Catch this group whenever you ..."
- ↑ Frommer's Egypt, Mohamed El Hebeishy (2010), "Grammy award–winner Fathy Salama mixes jazz with Arab elements, and periodically gigs in Cairo with his Sharkiat band."
- ↑ Bruno Blum, De l'art de savoir chanter, danser et jouer la bamboula comme un éminent musicien africain: Le guide des musiques africaines (2007), "Le groupe Sharkiat de Fathy Salama évolue de Yaljil vers un rock variété dans les années 1990."
- ↑ Jurek, Thom. "Egypt - Youssou N'Dour". AllMusic (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-12-08.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fathy Salama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |