Nenda kwa yaliyomo

Charles Bronson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles Bronson
Charles Bronson (1973).
Charles Bronson (1973).
Jina la kuzaliwa Charles Dennis Buchinsky
Alizaliwa 3 Novemba 1921
Marekani
Kafariki 30 Agosti 2003
Ndoa Harriet Tendler (1949-1967)

Jill Ireland (1968-1990)
Kim Weeks (1998-2003)

Charles Bronson (jina la kuzaliwa Charles Dennis Buchinsky,3 Novemba 1921 - 30 Agosti 2003) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani, alikuwa akiitwa "Mtu Shupavu". Filamu nyingi alipendelea kucheza kama askari mpelelezi, pia mpiganaji wa wa kutumia silaha katika filamu za western ambayo moja kati ya filamu hizo ni ile aliocheza na Henry Fonda chini ya uongozi wake Sergio Leone katika Once Upon a Time in the West iliyochezwa 1968.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
  • The People Against O'Hara (1951)
  • The Mob (1951)
  • The Marrying Kind (1952)
  • My Six Convicts (1952)
  • Pat and Mike (1952)
  • Battle Zone (1952)
  • House of Wax (1953)
  • Crime Wave (1954)
  • Apache (1954)
  • Vera Cruz (1954)
  • Big House USA 1955
  • Jubal (1956)
  • The Magnificent Seven (1960)
  • Master of the World (1961)
  • X-15 (1961)
  • Kid Galahad (1962)
  • The Great Escape (1963)
  • 4 for Texas (1963)
  • Battle of the Bulge (1965)
  • The Sandpiper (1965)
  • This Property Is Condemned (1966)
  • The Dirty Dozen (1967)
  • Honor Among Thieves (1968)
  • Once Upon a Time in the West (1968)
  • Lola (1969)
  • Le Passager de la Pluie (1969)
  • The Family (1970)
  • Cold Sweat (1970)
  • Red Sun (1971)
  • Chato's Land (1972)
  • The Valachi Papers (1972)
  • The Mechanic (1972)
  • The Stone Killer (1973)
  • Chino (1974)
  • Mr. Majestyk (1974)
  • Death Wish (1974)
  • Breakout (1975)
  • Breakheart Pass (1975)
  • Hard Times (1975)
  • St. Ives (1976)
  • From Noon Till Three (1976)
  • Telefon (1977)
  • The White Buffalo (1977)
  • Raid on Entebbe (1977)
  • Love and Bullets (1979)
  • Borderline (1980)
  • Death Hunt (1981)
  • Death Wish II (1982)
  • 10 to Midnight (1983)
  • The Evil That Men Do (1984)
  • Death Wish 3 (1985)
  • Act of Vengeance (1985)
  • Murphy's Law (1986)
  • Assassination (1987)
  • Death Wish 4: The Crackdown (1987)
  • Messenger of Death (1988)
  • Kinjite: Forbidden Subjects (1988)
  • The Indian Runner (1991)
  • Death Wish V: The Face of Death (1994)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Bronson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.