Nenda kwa yaliyomo

Cangandala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cangandala ni mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Malanje.

Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 4,048[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cangandala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.