Ayumi Kaihori
Mandhari
Ayumi Kaihori (alizaliwa 4 Septemba 1986) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama golikipa wa timu ya taifa ya wanawake ya Japani.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Japan Football Association
- ↑ Sport, Saj Chowdhury BBC. "Women's World Cup final: Japan beat USA on penalties", BBC Sport.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ayumi Kaihori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |