Nenda kwa yaliyomo

Aweil East (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aweil East State
Mahali paAweil East State
Mahali paAweil East State
Mahali pa Aweil East katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Wanyjok
Idadi ya kaunti 13
Idadi ya manispaa 2
Serikali
 - Gavana Deng Deng Akuei
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 529,100

Aweil State (pia: Abiem State) ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Imegawanyika katika kaunti 8: Wunlung County, Malualbaai County, Warguet County, Yargot County, Madhol County, Mangok County, Baac County na Mangar-Tong County.[1], mbali na manispaa za Malualkon na Majok Yinh Thiou.[2]

  1. "Aweil East governor appoints county commissioners". Radio Tamazuj. 21 Aprili 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-19. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Aweil East governor appoints Wanyjok town mayor and deputy". Radio Tamazuj. 27 Machi 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-17. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aweil East (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.