Arthur Henderson
Mandhari
Arthur Henderson (20 Oktoba 1863 – 13 Septemba 1935) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Uingereza. Alikuwa kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi (Labour Party) mara tatu: 1908-11, 1914-22, 1931-34. Pia alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza kuanzia 1929 hadi 1931. Mwaka wa 1934 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arthur Henderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |