Aida El-Kashef
Mandhari
Aida El-Kashef (alizaliwa 1988) ni mwanaharakati[1], mtayarisha filamu na muigizaji kutokea Misri. sifa zake katika filamu zinajumuisha filamu ya Ship of Theseus na Walad w Bent. Pia aliongoza filamu fupi fupi kama A Tin Tale na Rhapsody in Autumn.[2]
Marejeo.
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jenkins, Mark (2013-10-24), "'The Square': Egypt In Crisis, And Its People In Focus", NPR (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2022-03-07
- ↑ "StackPath". www.dailynewsegypt.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aida El-Kashef kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |