Ukanda wa Aegean
Mandhari
Ukanda wa Aegean (Kituruki: Ege Bölges) ni moja kati ya kanda 7 za Uturuki ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuhesabia sensa ya wakazi. Ipo kwenye upande wa mgharibi mwa nchi, imepakana na Bahari ya Aegean (Ege Denizi) katika upande wa kaskazini, kanda ya Marmara katika kaskazini, kanda ya Mediterranea katika kusini na kusini-magharibi ni kanda ya Anatolia ya Kati mashariki mwake.
Mikoa
[hariri | hariri chanzo]- Mkoa wa Afyonkarahisar
- Mkoa wa Aydın
- Mkoa wa Denizli
- Mkoa wa İzmir
- Mkoa wa Kütahya
- Mkoa wa Manisa
- Mkoa wa Muğla
- Mkoa wa Uşak
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ukanda wa Aegean kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |