Thomas Hunt Morgan
Mandhari
Thomas Hunt Morgan (25 Septemba 1866 – 4 Desemba 1945) alikuwa mwanazuolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kufanya majaribio na inzi drusofila na kugundua sifa za kijenetiki. Mwaka wa 1933 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thomas Hunt Morgan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |