Nenda kwa yaliyomo

Ruba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anelidi
Ruba wa tiba akifyonza damu ngozini kwa mtu
Ruba wa tiba akifyonza damu ngozini kwa mtu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Nusuhimaya: Eumetazoa (Wanyama wenye tishu za kweli]]
Faila ya juu: Lophotrochozoa
Faila: Annelida (Wanyama kama nyungunyungu)
Ngeli: Clitellata
Nusungeli: Hirudinea (Ruba)
Ngazi za chini

Oda 2:

Ruba ni aina za anelidi ambao hupatikana sehemu zilizo na majimaji na hung'ata ngozini na kufyonza damu ya mtu au mnyama. Ruba hung'ata kwa pande zote mbili (mkia na kichwa)

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ruba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.