Nenda kwa yaliyomo

Q-Tip

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Q-Tip

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Jonathan Davis
Pia anajulikana kama Abstract, MC Love Child
Amezaliwa 10 Aprili 1970 (1970-04-10) (umri 54)
Asili yake St. Albans, Queens, New York, Marekani
Aina ya muziki East Coast hip hop, alternative hip hop
Kazi yake Mburudishaji
Ala Sauti, Kinanda, Bass, ngoma
Miaka ya kazi 1986 – hadi sasa
Studio Jive, Arista, Universal Motown, Battery, GOOD Music, Def Jam
Ame/Wameshirikiana na A Tribe Called Quest, De La Soul, Jungle Brothers, Queen Latifah, Busta Rhymes, Mobb Deep, Beastie Boys, Mary J. Blige, Talib Kweli, Ice Cube, Cypress Hill, Consequence, Mark Ronson, Janet Jackson, Kurt Rosenwinkel, Faith Evans, Native Tongues, R.E.M.
Tovuti qtiponline.com

Kamaal Ibn John Fareed (amezaliwea na jina la Jonathan Davis manmo tar. 10 Aprili 1970), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Q-Tip, ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka mjini St. Albans, Queens, New York huko nchini Marekani. Ni mmoja kati ya wanachama matata kabisa wa kundi zima la hip hop la A Tribe Called Quest.

John Bush wa Allmusic anamwita "rapa/mtayarishaji mahiri katika historia nzima ya hip-hop,"[1] wakati wahariri wa About.com wamemweka katika orodha yao ya 50-Bora ya Watayarishaji wa Hip-Hop,[2] na vilevile kumweka katika orodha yao ya Ma-MC Bora-50 wa Kipindi Chetu (1987–2007).[3] Mwaka wa 2012, jarida la The Source wamemweka nafasi ya 20 katika orodha yao ya Washairi 50 Bora wa Muda Wote.[4]

A Tribe Called Quest

[hariri | hariri chanzo]

Kazi za kujitegemea

[hariri | hariri chanzo]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Filmografia

[hariri | hariri chanzo]
  • 1993: Poetic Justice
  • 1999: Love Goggles
  • 2000: Disappearing Acts
  • 2001: Prison Song
  • 2002: Brown Sugar
  • 2004: She Hate Me
  • 2008: Cadillac Records
  • 2010: Holy Rollers
  1. Bush, John. (2008-11-04) The Renaissance – Q-Tip. AllMusic. Retrieved on 2011-12-18.
  2. Top 50 Hip-Hop Producers Archived 10 Mei 2015 at the Wayback Machine.. Rap.about.com. Retrieved on 2011-12-18.
  3. Top 50 MCs of Our Time: 1987 – 2007 – 50 Greatest Emcees of Our Time Archived 9 Machi 2012 at the Wayback Machine.. Rap.about.com. Retrieved on 2011-12-18.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-09. Iliwekwa mnamo 2013-06-09.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Q-Tip Kigezo:A Tribe Called Quest Kigezo:Soulquarians Kigezo:GOOD Music