Paul Dirac
Mandhari
Paul Adrien Maurice Dirac (8 Agosti 1902 – 20 Oktoba 1984) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza sifa za elektroni ndani ya nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1933, pamoja na Erwin Schrodinger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Dirac kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |