PHP
Mandhari
PHP | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna ya utaratibu
inaozingatiwa kuhusu kipengee namna nyingi |
Imeanzishwa | Januari 1 1994 |
Mwanzilishi | Rasmus Lerdorf |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: Perl, C, C++, Java, Tcl, JavaScript, Hack
Ilivuta: Hack |
Mahala | The PHP Development Team, Zend Technologies |
Tovuti | https://www.php.net |
PHP ni lugha ya programu. Iliundwa na Rasmus Lerdorf na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1994. Iliundwa ili kuumba tovuti kama Facebook au Wikipedia. Leo tunatumia PHP 8.0.0. Ilivutwa na C.
Inaitwa PHP, kifupi cha maneno "Hypertext Preprocessor"
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ilianzishwa 1 Januari 1994 nchini Marekani, lakini Rasmus Lerdorf alianza kufanya kazi kuhusu PHP mwaka wa 1993.
Falsafa
[hariri | hariri chanzo]Namna ya PHP ni namna ya utaratibu, namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
[hariri | hariri chanzo]Sintaksia ya PHP ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya C++, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya PHP
[hariri | hariri chanzo]Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<title>PHP programu "Jambo ulimwengu !"</title>
</head>
<body>
<?php echo '<p>Jambo ulimwengu !</p>'; ?>
</body>
</html>
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
<html>
<head>
<title>Programu kwa kupata factoria</title>
</head>
<body>
<form method="post">
Ingia namba:<br>
<input type="number" name="number" id="number">
<input type="submit" name="submit" value="Submit" />
</form>
<?php
if($_POST){
$fact = 1;
//getting value from input text box 'number'
$number = $_POST['number'];
echo "Factoria ya $number:<br><br>";
//start loop
for ($i = 1; $i <= $number; $i++){
$fact = $fact * $i;
}
echo $fact . "<br>";
}
?>
</body>
</html>
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Luke Welling, Laura Thomson, PHP and MySQL Web development, Sams Publishing, 2008, 4e éd. (ISBN 0-672-32916-6, OCLC 854795897)
- Damien Seguy, Philippe Gamache, Sécurité PHP 5 et MySQL, 3e édition, Eyrolles, 1er décembre 2011, 277 p. (ISBN 2-212-13339-1)
- Jean Engels PHP 5 Cours et Exercices, 3e édition, Eyrolles 2013, 631 pages (ISBN 978-2-212-13725-5)