Nenda kwa yaliyomo

Kalamini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kalamini
Kalamini.

Kalamini (pia inajulikana kama losheni ya kalamini) ni dawa inayotumika kutibu mwasho wa kiasi. Hii ni pamoja na muunguzo wa jua, kuumwa na wadudu, mwaloni wa sumu, au hali nyingine za mwasho wa ngozi. Inaweza pia kusaidia kuondoa mwasho.

Hupakwa kwenye ngozi kama mafuta au losheni.

Pia kalamini hutumika kama tiba ya tetekuwanga.

Madhara yanaweza kusababishwa na kalamini ni muwasho kama ikitumika vibaya. Inachukuliwa kuwa salama katika kipindi cha ujauzito.

Kalamini ni mchanganyiko wa oksaidi ya zinki na 0.5% ya oksidi ya chuma (Fe2O3), huzalishwa na viungo vya ziada kama vile phenol na hidroksidi ya kalisi.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kalamini kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.