Hilda wa Whitby
Hilda wa Whitby (614 hivi – 17 Novemba 680) alikuwa abesi mwanzilishi[1][2] wa monasteri ya Whitby, iliyofuata desturi za Ukristo wa Kiselti. Ndipo palipofanyika Sinodi ya Whitby [3] iliyokubali kufuata desturi za Kanisa la Roma.
Kisha kupokea ujanani imani na sakramenti za Kristo, alipoongoza monasteri yake, alijitahidi vilevile kwa hekima yake maarufu kurekebisha nidhamu ya kimonaki kati ya wanawake na wanaume wa monasteri nyingine, kudumisha amani na upendo, kuhamasisha kazi na usomaji wa Biblia, kiasi kwamba walisema duniani alitenda mambo ya mbinguni [4].
Hilda alikuwa muhimu katika kuvuta Waangli na Wasaksoni katika Ukristo pia.
Habari za Hilda zinategemea hasa kitabu cha historia ya Kanisa kilichoandikwa na Beda Mheshimiwa mwaka 731.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake au siku nyingine.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Hilda of Whitby / Hild of Streonshalh 614-680 Educator of Women". Iliwekwa mnamo 21 Machi 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Thurston, Herbert. "St. Hilda." The Catholic Encyclopedia. Vol. 7. New York: Robert Appleton Company, 1910. 7 May 2013
- ↑ "St. Hilda", Parish Church of St. Wilfrid, Bognor
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90435
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Sister Hilary OHP; (2003). St. Hilda of Whitby, Order of the Holy Paraclete, St. Hilda's Priory, Sneaton Castle, Whitby YO21 3QN.
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Bede (1996) The Ecclesiastical History of the English Church and People, Oxford University Press, World classics series.
- Bradley, Ian (1999) Celtic Christianity, Edinburgh University Press.
- Cavill, Paul (1999) Anglo-Saxon Christianity: exploring the earliest roots of Christian spirituality in England, London: Collins, Fount paperback.
- Hume, Basil (1996) Footprints of the Northern Saints, London: Darton, Longman & Todd.
- Simpson, Ray (2014) Hilda of Whitby: A spirituality for now, BRF
- Thurston, H. (1910) St. Hilda.
- Warin, Anne (1989) Hilda, Lamp Press.
- Watling, Barbara (2005). "St Hilda of Hartlepool and Whitby". Catholic Life Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (Article) mnamo 2011-07-17.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help); Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- St. Hilda on Melvyn Bragg's In Our Time, 5 April 2007 (BBC Radio 4)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |