Greccio
Mandhari

Greccio ni kijiji cha wilaya ya Rieti, mkoa wa Lazio, Italia ya kati, maarufu hasa kwa uhusiano wake na Fransisko wa Asizi aliyeanzisha huko desturi ya Pango la Bethlehemu ili kudumisha kumbukumbu ya jinsiYesu alivyozaliwa.
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The Pro Loco of Greccio Ilihifadhiwa 27 Juni 2013 kwenye Wayback Machine.