Dickinson W. Richards
Mandhari
(Elekezwa kutoka Dickinson Richards)
Dickinson Woodruff Richards (30 Oktoba 1895 – 23 Februari 1973) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza hali ya moyo wa binadamu. Mwaka wa 1956, pamoja na Andre Cournand na Werner Forssmann alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dickinson W. Richards kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |