Nenda kwa yaliyomo

Boorama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makazi ya watu katika mji wa Boorama

Boorama ni mji wa Kisomali ulioko kaskazini mashariki mwa Somalia uliotengwa kwa jina Somaliland.

Idadi ya wakazi hukadiriwa kuwa 39,606.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boorama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.