Nenda kwa yaliyomo

RZA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 15:20, 10 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 25 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q52447 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
RZA
RZA in New York City to discuss "The Tao of Wu"
RZA in New York City to discuss "The Tao of Wu"
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Robert Fitzgerald Diggs
Pia anajulikana kama The Abbot, Bobby Digital, Bobby Steels, Prince Rakeem, The RZArecta, The Scientist, Prince Delight, Prince Dynamite, Ruler Zig-Zag-Zig Allah, #0
Amezaliwa 11 Mei 1969 (1969-05-11) (umri 55)
Brownsville, Brooklyn, New York
Asili yake Brooklyn, New York,
Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Rapa
CEO
mtayarishaji
mwigizaji
mwandishiskirini
mtunzi wa vitabu
mwongozaji
Ala Rap, Gitaa, Piano, Kinanda, Zither, Sampler
Miaka ya kazi 1989–mpaka sasa
Studio Tommy Boy/Warner Bros. Records
Wu-Tang Records/Razor Sharp/Epic/36 Chambers Records/Wu Music Group/Wu-Tang International/SME Records
Virgin/EMI Records
Koch Records


Robert Fitzgerald Diggs (amezaliwa tar. 5 Julai 1969) ni mshindi wa Tuzo za Grammy, akiwa kama mtayarishaji wa muziki, mtunzi wa vitabu, rapa, mwigizaji, mwongozaji, na mwandishiskrini kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake kisanii kama RZA. Yeye ni umbo mashuhuri kwenye muziki wa hip hip na pia anaonekana kama ndiyo kiongozi wa kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Ametayarisha karibuni albamu zote za Wu-Tang Clan vilvile kazi nyingi za ushirikia na kujitegemea za wana-Wu-Tang. Baadaye akaamua kujikita zaidi kwenye suala zima la kutengeneza vibwagizo vya filamu na ugizaji kwa ujumla.

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu: Diskografia ya RZA

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu RZA kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.